Video na sauti kuhusu Barua ya Watu wa Mungu ya Sinodi
Sekretarieti Kuu ya Sinodi imetoa toleo kwa vyombo vya habari juu ya "Barua kwa Watu wa Mungu" kutoka katika Mkutano Mkuu wa 16 wa Kawaida wa Sinodi ya Maaskofu.
Na Angella Rwezaula, - Vatican.
Vyombo vya habari kupitia Toleo la kwanza la Waraka kwa Watu wa Mungu kutoka katika Mkutano Mkuu wa XVI wa Kawaida wa Sinodi ya Maaskofu ( ) limetolewa ili kukamilisha maandishi ya washiriki wa Sinodi. Katika Barua hiyo inatoa shukrani kwa uzoefu wa Sinodi, ikieleza kwa kina juu ya kazi yao katika wiki chache zilizopita na kueleza matumaini kwamba kila mtu ataweza "kushiriki kikamilifu katika maenendo ya ushirika wa kimisionari unaooneshwa na neno 'Sinodi'".
Barua hiyo pia inapatikana kwenye tovuti ya Sinodi( )katika lugha nyingi zaidi. Lakini pia unaweza kusona na kusikiliza kwa lugha ya kiswahili:/sw/vatican-city/news/2023-10/waraka-sinodi-xvi-maaskofu-kwa-watu-mungu-oktoba-2023.html
20 Novemba 2023, 16:42