Picha ya Papa pamoja na watoto wa Kharkiv Ukraine
Picha ya Papa Leone XIV katika Uwanja wa Mtakatifu Petro,baada ya Katekesi yake na baadaye watoto walitembelea Baraza la Kipapa la Mawasiliano.Kwa kundi la vijana wadogo ambao wamezoea kelele na hofu ya vita ambayo bado inaumiza Ukraine kwa miaka mingi,Jumatano 11 Juni 2025 ilikuwa siku maalum.Tazama video yetu.
12 Juni 2025, 15:55