Statio Orbis,miaka 5 iliyopita Papa alisali peke yake katika Uwanja wa Mtakatifu Petro
Video ya kuishi uzoefu wa kipindi cha kihistoria cha tarehe 27 Machi 2020,wakati Papa alitembea peke yake kwenye ngazi za Uwanja wa Basilika ya Mtakatifu Petro,ukiwa mtupu ili kuhakikishia sala zake ulimwengu uliokuwa hatarini kwa kuzuka Uviko-19.Siku hiyo kulikuwa na kuabudu Sakramenti Takatifu,Baraka ya Urbi et Orbi,pamoja na sala ya Baba Mtakatifu kwa Mungu iliāasituache katika mawimbi ya dhoruba na mwaliko wa kupiga kasia kwa pamoja.ā
27 Machi 2025, 15:39