Papa Hospitalini Gemelli:usiku ulikuwa mtulivu
“Usiku ulikuwa mtulivu,Papa yuko bado anapumzika.”
Ni sasisho jipya kuhusiana na hali ya Afya ya Baba Mtakatifu Francisko,lililotolewa Dominika asubuhi tarehe 2 Machi 2025, na ambaye alilazwa Hospitalini Gemelli,Roma tangu tarehe 14 Februari.
02 Machi 2025, 08:23