杏MAP导航

Tafuta

Watu wengi wanamuombea Papa Francisko aweze kupona Watu wengi wanamuombea Papa Francisko aweze kupona 

Waziri Mkuu wa Italia Bi Giorgia Meloni,atembelea Papa Hospitalini Gemelli

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Jumba la Waziri Mkuu wa Italia, inabainisha kuwa Bi Giorgia Meloni alikwenda Hospitali ya Gemelli kumtembelea Baba Mtakatifu.Bi Meloni alieleza kwa Papa matashi mema ya kupona kwa niaba ya Serikali na Taifa zima.“Nimefurahi sana kumkuta akiwa macho na msikivu,”alisema Waziri Mkuu wa Italia Bi Meloni.“Tulitaniana kama kawaida.Hajapoteza msemo wake wa ucheshi.”
19 Februari 2025, 16:22