杏MAP导航

Tafuta

Hospitali ya Gemelli wakati wa usiku. Hospitali ya Gemelli wakati wa usiku.  (AFP or licensors)

Hali ya kiafya ya Baba Mtakatifu inaboreka kidogo.Hana homa na aliendelea na shughuli zake

Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Vatican imeripoti jioni hii juu ya afya ya Papa kwamba"inaboreka kidogo.Hana homa na vipimo vya damu vinaendelea kuwa thabiti.”

Vatican News

“Hali ya kiafya ya Baba Mtakatifu inaboreka kidogo. Hana homa na vigezo  vya vipimo vya damu(Haemodynamic)vinabaki thabiti. Asubuhi ya leo alipokea Ekaristi na hatimaye kujishughulisha na shughuli za kazi."

Ndivyo Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Vatican ilibanisha ikisasisha jioni hii,  Alhamisi tarehe 20 Februari 2025, kuhusu hali ya afya ya Papa Francisko ambaye alilazwa katika hospitali ya Agostini Gemelli, Roma tangu tarehe 14 Februari 2025.


20 Februari 2025, 20:07