杏MAP导航

Tafuta

Katika jengo kubwa Roma,kati ya mikoba na mifuko ya kulala:"tunamsubiri kumuona Papa!

Kwa siku mbili,mahujaji 25,000 kutoka duniani kote wamekuwa wakikaa katika kituo kikubwa cha usafirishaji nje kidogo ya mji mkuu,wakisubiri kushiriki katika hafla za Jubilei. Vijana kutoka tamaduni tofauti hugawana nafasi na rasilimali na wenzao.Afisa wa usalama:"Kama ilivyo katika ulimwengu wa watu wazima,elimu,uvumilivu na ushirikiano ni muhimu ili kuishi kwa amani."
30 Julai 2025, 16:53