杏MAP导航

Tafuta

Kushoto ni Askofu Mkuu Henryk Mieczys?aw Jagodziński,Balozi wa  Vatican nchini Afrika Kusini,Lesotho,ESwatini na sasa Botswana. Kushoto ni Askofu Mkuu Henryk Mieczys?aw Jagodziński,Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini,Lesotho,ESwatini na sasa Botswana. 

Papa amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana

Jumanne tarehe 20 Agosti 2024,Baba Mtakatifu Francisko amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana, Askofu Mkuu Henryk Mieczys?aw Jagodziński, wa kanisa la Limosano, ambaye hadi uteuzi huo ni Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini, Lesotho,Namibia na Eswatini.
20 Agosti 2024, 16:40