Hitimisho la Jubilei ya vijana:Mambo muhimu ya misa Takatifu
Mambo Muhimu ya Jubilei ya Vijana: Misa Takatifu na Sala ya Malaika wa Bwana tarehe 3 Agosti 2025.
Papa Leo XIV katika hitimisho la Jubilei hiyo kwenye Uwanja mpana sana wa Tor Vergata,Roma alirudia kutoa mwaliko kwa vijana ili wajiandalie vema kuelekea kwenye siku ya vijana (WYD) huko Korea Kusini 2027.
03 Agosti 2025, 16:30