Saidia hatua za Papa Leo XIV
Vatican News
Kwa hatua ndogo mbele, Papa Leo XIV anajiwakilisha mwenyewe kwa Ulimwengu:
"Amani iwe kwenu"
Na Tangu wakati huo hatua zake zinakuwa zetu.
"Ninakuja kwenu kama Ndugu, ninayatamani kuwa mtumishi wa imani na furaha yenu"
Kwa majitoleo yako kwa ajili ya mkusanyo wa Sadaka ya Mtakatifu Petro, unga mkono Baba Mtakatifu hatua zake kwa namna ya dhati.
Utakuwa umemsaidia Yeye katika Kutangaza Injili Ulimwenguni kote na kupanua uungwaji mkono kwa kaka na dada wenye kuhitaji.
" Ndugu zangu hii ni saa ya Upendo"
Saida hatua za Baba Papa Leo XIV . Toa majitoleo kwa mkusanyo wa sadaka ya Mtakatifu Petro.
Wasiliana na Parokia, Jimbo au Taasisi yoyote namna ya kuweza kutoa sadaka ya mkusanyo kwa ajili ya Mtakatifu Petro.
Ni katika mutadha wa Siku Kuu ya Watakatifu Petro na éaulo, Dominika tarehe 29 Juni 2025. Asanteni.
Au unaweza kuingia katika Tovuti rasmi yaani ya mchango huo, ili kuchingia, kwa kutoa sadaka yako()kupitia chaneli za kidijitali zenye uhakika.