杏MAP导航

Tafuta

Mwezi mmoja baada ya kifo cha Papa Francisko Aprili 21-Mei 21,2025

Katika kikanisa cha nyumba ya Mtakatifu Marta amekumbukwa Papa aliyeaga dunia tarehe 21 Aprili,mahali ambapo Kanisa hilo lilikaribisha jeneza la Papa Francisko kwa mara ya mwisho.Misa hiyo iliongozwa na Kardinali Konrad Krajewski,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Upendo.Video inaonesha kabla ya jeneza kupelekwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kutoa heshima za mwisho.
21 Mei 2025, 18:53