WYD Lisbon 2023:Ufupisho wa siku ya Papa kwa njia ya video huko Lisbon
Kwa dakika moja ya siku ya I ya Papa,Ureno kuanzia na kuwasili,kukisubiriwa na maelfu ya vijana wa WYD,kisha mkutano na mamlaka ya kiraia na kisiasa ya nchi katika Kituo cha Utamaduni cha Belém.Hatimaye Masifu ya jioni na maaskofu,mapadre,mashemasi,waseminari na makatekista katika Monasteri ya Jeronimos.
02 Agosti 2023, 23:15