杏MAP导航

Tafuta

WYD,Lisbon 2023:Siku ya tatu ya Papa kwa dk 1 ya video

Baba Mtakaifu Francisko akiwa katika ziara yake ya 42 ya kitume huko Lisbon katika Siku ya vijana duniani iliyoanza tarehe Mosi Agosti,Ijumaa ilikuwa na ratiba nyeti tena kuanza na mikutano ya ndani ya Ibalozi wa Vatican kwa mwanamke wa miaka 106 hadi kuhitimisha kwa Njia ya Msalaba katika Bustan ya Eduardo VII,Lisbon.
05 Agosti 2023, 09:56