Koch:"Nicea,msaada wa kuishi imani leo hii"
Mgeni katika mkutano wa"Miaka 1700 tangu Mtaguso wa Nicea,"wakati wa Mkutano wa Rimini wa 2025,Mweyekiti wa Baraza la Kipapa la kuhamasisha Umoja wa Wakristoalizungumza na Mhariri Mkuu wa Vyombo vya Habari vya Vatican,Andrea Tornielli, na Naibu Mhariri Mkuu wa Vyombo vya Habari vya Vatican na Mkuu wa Radio Vatican-Vatican News,Massimiliano Menichetti.
27 Agosti 2025, 10:00